Wednesday, 15 July 2015
Tuesday, 14 July 2015
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB
Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Maisha Basement, Sam Kaliuki.
Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa Burudani, pamoja na Geofrey Gilla na wa kwanza kulia ni Afisa Mahusiano wa Maisha Club pamoja na Maisha Basement, Omary Sharifu


Afisa Mahusiano wa Maisha Club pamoja na Maisha Basement, Omary Sharifu, akiwaonesha wanahabari ukumbi huo.
Meneja Mkuu wa Maisha Club Tanzania , Allan Ngugi (kulia), akiwakwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Club pamoja Maisha Basement, Jean Claud Ciza wakati wa utambulisho wa uzinduzi club ya Maisha Basement kwa wanahabari.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)