Zimebaki dk chache tu hili tukutane na tupeane Masqu kwa kila mlembo atakeingia ndani ya New Maisha club leo katika uzinduzi wa D'Wikend chat show
Friday, 29 March 2013
Tuesday, 26 March 2013
D'WIKEND CHAT SHOW MASQUERADE PARTY, FROM MAISHA CLUB DvJ OMMY CRAYZ and Dj ALLY B, FROM CLOUDS fm Dj PQ and DJ SEAN from LE TASI COCO BEACH and DJ K3
Ijumaa hii /29th D'wikend chatshow Masquerade Party @New Maisha Club
uzinduzi rasmi wa D'Wikend chatshow kwa mwaka huu...Bonge moja la party
tunainvite ma fans wooote...kuanzia saa 3:00 usiku/kiingilio:10,000
Tshs...plus mask ya Bure..C ya'll pande hizo dah utakiwi kukosa kabisaa Ijumaa hii Maishani.
Wednesday, 20 March 2013
JUMAPILI HII CLUB MAISHA HAWA WOTE WATAKUWEPO MJENGONI.....
LINEX SUNDAY MJEDA JUDGE WA MAPENZI .
MC WA USIKU WA MAHAKAMA YA MAPENZI JUMAPILI@CLUB MAISHA....
Tuesday, 19 March 2013
MAPENZI YAMEPATA MAHAKAMA NA JUDGE NI LINEX NJOO USHUHUDIE JUMAPILI HII CLUB MAISHA MAPEZI YANAHUKUMIWA VP?.....
Siku hii itakua ni siku ya masauti toka kwa watu wa masauti Njoo uone nini Mahakama hitahamua juu ya mapenzi Chini ya Jaji mkuu Linex
Saturday, 16 March 2013
Thursday, 14 March 2013
Wednesday, 13 March 2013
Monday, 4 March 2013
KARIBU KATIKA BLOG YA NEW MAISHA CLUB
Karibu katika blog ya New Maisha Club. Kupitia hapa unaweza kupata ratiba, picha za matukio na mambo mengi mazuri.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)