Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Sunday, 28 September 2014

MASHINDANO UDO EAST AFRICA STREET DANCE YALIYOANDALIWA NA UDO YAFANYIKA CLUB MAISHA JIJINI DAR

 Hawa ndio walikuwa kikaangoni  siku ya jumapili hii na wawili wao wameyaaga mashindano  ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika k Club ya Maisha   jijini Dar.
  Mc wa mashindano ya Dance, Gillah "The Boss" akifanya ya kwake kwenye stage ya New Maisha Club jijini Dar. 
 Mc wa mashindano ya Dance, Jillah "The Boss" akiwa na Mc Kim wakifanya ya kwao kwenye stage ya Maisha Club ya jijini Dar.
Hawa ndio walioingia kwenye kikaango wiki iliyopita 
Huyu aliyeshika Mic ndiye aliyeaga mashinda katika mashindano hayo
Mc Kim akiwaonesha madansa walioingia kikaangoni 
Jaji Steve(aliyeshika Mic)  akizungumza jambo kwenye shindano  hilo
 Jaji Joan(katikati) akizungumza jambo kwenye mashindano hayo wa kwanza kushoto  ni Chief Jaji Idrisa pamoja na jaji
 Chief Jaji Idrisa akizungumza jambo kwenye mashindano ya Street Dance Champion yaliyofanyika kwenye Club ya Maisha jiji Dar, Kulia ni Jaji Joan


  Picha za juu zinaonesha baadhi ya makundi yaliyoshiriki kwenye  mashindano ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika  Club Maisha Club jijini Dar.
Majaji wakijadili jambo wakati wa shindano hilo
Baadhi ya mashabiki waliofika kuangalia kinachoendelea kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Club maisha jijini Dar
Hawa ndio walioingia kwenye Danger Zone jumapili hii

0 comments :

Post a Comment