Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Thursday, 30 October 2014

NATURAL WHITE COMPETITION JUMAPILI HII CLUB MAISHA DAR -ES SALAAM.

NATURAL WHITE COMPETITION jumapili ndio ule usiku wa wewe mtoto wa kike kupendeza zaidi nakutumia urembo wako wa asili. Mashindano haya yameanza wiki mbili sasa wiki iliyopita ilikuwa nikumtafuta msichana mwenye uzuri wa asili ya weusi na walifanikiwa kupatikana ssa wiki hii ni mashindano yakumsaka mwanamke au binti mzuri mwenye uzuri wa asili ya weupe na wiki inayofuata baada ya hyo ni  jumapili ya tar 16/11/2014 zitafanyika fainali za mashindano haya na mshindi atapata zawadi yakitita cha tsh 500,000/= laki tano taslimu za kitanzania. Kwa hiyo usikose kuhudhuria mashinadano haya na usiku huo atakayesindikiza kwa show kali ni Hemed PHD ataperform ngoma zake zote.

0 comments :

Post a Comment