Rapper CHID BENZ ndio alifanya ngoma pamoja ya 120 yaani mia ishirini humu ALBERT MANGWEAR aliongea vitu vingi sana ukiwemo mstari huu HATA NIKIFA LEO PENGO LANGU HALINA SPEAR .. huu mstari alipita ngwear katika ngoma hyo ...daaah R.I.P ALBERT MANGWEAR ....
Tuesday, 28 May 2013
Monday, 27 May 2013
Thursday, 16 May 2013
Wednesday, 15 May 2013
Tuesday, 14 May 2013
Friday, 10 May 2013
MISS&MR T.I.A @CLUB MAISHA DAR-ES-SALAAM IJUMAA YA TAR 10,MAY,2013 .....
Huyu aliyekuwa mbele ndio mshindi namba moja MISS T.I.A iliyofanyika NEW MAISHA CLUB DAR-ES-SALAAM ijumaa ya jana 10,may,2013
- Hawa ndio washindi wa shindano lakumtafuta MISS&MR T.I.A iliyofanyika kwa mara ya kwanza CLUB MAISHA DAR-ES-SALAAM na hawa ndio waliibuka kuwa washindi usiku huo kwa kifupi usiku huu ulipendeza sana watu waliohudhuria walipata raha zote sababu usiku huu ulijaa watoto wazuri wengi na handsome boyz wengi waliofika walienjoy sana....
Tuesday, 7 May 2013
KALAPINA VS CHID-BENZ JUU YA JUKWAA LA USIKU WAKIKOSI CHA MIZINGA@CLUB MAISHA DAR....
- DVJ OMMY CRAZ akiwa na KALAPINA kutoka KIKOSI CHA MIZINGA siku ambayo alimpiga makonde matatu King of HIP HOP Chid-Beenz katika jukwaa la usiku wa KIKOSI.
GLLA THE BOSS ndio MC aliyeporwa mic na Rapper CHID BENZ jukwaani nakuanza kuongea vitu vingi sana ambavyo vilimkwaza KAMANDA KALAPINA kitu kilichomfanya PINA apate hasira baada kumskia CHID BENZ akisema eti hajui ile show ni ya nani? wakati muda wote alikuwepo kwa show na CHID BENZ hakuwa na nia mbaya kupanda katika jukwaa la KIKOSI alipanda kumpa BIG UP NIKI MBISHI baada ya kuimba ngoma mpya ambayo aliitambulisha juu ya jukwaa iliyokuwa Inamchana NEY WAMITEGO-- NGOMA INAITWA MTOTO NEEMA akimaanisha NEY WAMITEGO hiki ndicho kilimfanya CHID BENZ ashuke kutoka V.I.P na kuja V.I.ME ilikokuwa inafanyika performance ya KIKOSI CHA MIZINGA lakini wafuasi wakikosi walimpelekea habari tofauti KAMANDA PINA ndipo ugomvi ukatokea lakini CHID BENZ hakuwa na nia mbaya wala ugomvi ila nimizuka tu yakisaniii ilimponza RAPPER CHID BEENZ............................!!!!!!!!
Sunday, 5 May 2013
Friday, 3 May 2013
Wednesday, 1 May 2013
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)