Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Sunday, 28 December 2014

USIKU WA USWAZI NA WASWAZI WENYEWE YAFANYIKA DAR LIVE

Kundi la Umeme wakifanya yao stejini kwenye shoo ya usiku wa waswazi.Picha na Pamoja Blog
Kundi la Yakuza Mobb wakitoa burudani ya nguvu.
TID a.k.a "Mnyama" akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo ya usiku ya uswazi na waswazi wenyewe
Chid Benz  akiimba na mashabiki wake 
Kala Pina a.k.a “Mbuge Mtarajiwa’’ akitoa burudani ya nguvu ndani ya Dar Live
Msanii Inspector Haroun a.k.a Babu akiwapagawisha mashabiki wake kwa ngoma za kitambo.
Mkaanga Sumu akifanya ya kwake kwenye stage
Baadhi ya mashabiki waliofika kwenye shoo ya Usiku wa Uswazi na wasaswazi wenyewe
Wadau wetu wakiwa kwenye picha za pamoja

Monday, 1 December 2014

YALIYOJIRI KWENYE SHOO YA UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA MIRRORS

Wema Sepetu  kaongea jambo kwenye Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar
Mirrors akiwaburudisha mashabiki wake waliofika kwenye shoo yake ya ROAD to Success at New Maisha Club Dar
        Bonge la Mc Gilla ze Boss Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar
 B 12 ambaye kwenye Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar alikuwa ni MC
Petit Man akisungumza jambo kama MC kwenye Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar
Y-ton akitoa burudani
Cyrili akiwaburudisha mashabiki wake
Makomando walipanda kwenye stage kama suprise iliyokuwepo kwente Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar
Young D
Dully akifanya ya kwake kwenye stage
Wema Sepetu akitoa shukrani kwa mashabiki waliojitokeza kwenye shoo hiyo ya Mirrors
wakifuatilia video mpya ya Mirrors

Baadhi ya mashabiki waliofika kwenye Usiku wa Mirrors ROAD to Success at New Maisha Club Dar

Sunday, 30 November 2014

PICHA: DIAMOND PLATNUMZ AFANYA KWELI TUZO ZA CHANNEL O NCHINI AFRIKA KUSINI

Diamond Platnumz akiongea machache baada ya ushindi huo wa kishindo. 
MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.
Diamond Platnumz akipozi baada ya kutwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini.
Mrembo Zari anayedaiwa kuchukua nafasi ya Wema Sepetu akiwa ameshika tuzo za Diamond.
Mama mzaa chema, Sanura 'Sandra' Kassim katika pozi

Kupitia ukirasa wake wa Facebook Diamond amewashuru sana mashabiki wa wote walio msupport.
"Kiu kweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika historia mpya kwenye ramani ya muziki wa Afrika...Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja ni nguvu na pia jinsi gani muziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi... Shukrani sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu" - Ameandika Diamond 
Diamond katika pozi na wadau.
Diamond katika pozi na wadau pamoja na mama yake mzazi, Sandra (wa pili kulia).

Monday, 17 November 2014

YALIYOJIRI KWENYE PARTY YA KIBAO KATA ILIYOFANYIKA AZURA



Hyperman HK (aliyeshika mike) ambaye siku ya party hiyo alikuwa ni mc wa tukio zima na katikati ni Dj Ommy

Kundi la kibao kata likitoa burudani kwenye party iliyofanyika Azura karibu na fukwe za bahari ya Hindi
Warembo wa kibao kata wakikata mauno kwenye party hiyo 
Ilikuwa ni nimaaa sana
Mc Babu Ayubu akitoa burudani kwenye party ya kibao kata iliyofanyika Azura
Baadhi ya watu waliofika kwenye party hiyo
Picha hizi hapa chini zinawaonesha wanamitindo wakipita na mavazi mbalimbali ya ufukweni

Msanii chipukizi kwenye nyimbo za mwambao akifanya ya kwake
Wadau wakifuatilia party hiyo