Luteni Kalamakutoka kundi la kundi la Gangwe Mobb akitoa burundani kwenye uzinduzi wa video mpya iitwayo mpya MIMI ndani yya Maisha Club usiku wa kuamkia leo
Mc Koba kutoka kundi la watu poli akitotoa burudani ndani ya maisha Club kwenye usiku wa uzinduzi wa Video mpya iitwayo MIMI ndani yya Maisha Club usiku wa kuamkia leo
Nasri akitoa burudani
Baby Madaha pamoja na madansa wake wakitoa burudani ndani ya Maisha Club usiku wa kuamkia leo
Baby Madaha akiendelea kutoa burudani
Ilikuwa ni noma sana ndani ya Maisha Club maana ilikuwa ni shangwe
Bela Fasta akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yake mpya ndani ya Maisha Club
Bela Fasta akiendelea kutoa burudani huku madansa wake wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake waliofika ndani ya Maisha Club kutazama shoo hiyo
Mwanamziki wa kizazi kipya Bela Fasta pamoja na Baby madaha wakitoa burudani kabla ya kuzindua video yao mpya
Utambulisho wa ngoma yao mpya MIMI hapo ni Baby madaha bella fasta, na Nasri