Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Friday, 8 August 2014

YALIYOJIRI KWENYE SHOO YA JOSE CHAMELEONE CLUB MAISHA MJINI DODOMA

  Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwaburudisha mashabiki wake kwenye club ya Maisha mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Mc wa  Shoo ya Jose Chameleone, Hyperman HK akizungumza jambo kwenye shoo hiyo

 Ytony akiwaburudisha mashaki wake kwenye club Maisha ya mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
 
 Jose Chameleone akiendelea kutoa burudani
 Full makamuzi ya nguvu kwenye club ya maisha ya mjini Dodoma
Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Jose Chameleone

0 comments :

Post a Comment