Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Tuesday, 4 November 2014

JUMATANO HII NA KILA JUMATANO NI USIKU WA DERA KATIKA CLUB YAKO YA KIJANJA NEW MAISHA CLUB DAR.

USIKU WA DERA kila jumatano hufanyika New Maisha Club Dar kwa mtonyo huu tsh 10,000/= tu. Na kila jumatano huwa kunakuwa na zawadi kwa mabinti waliovaa Dera kali  kutoka  Ndio Fashion na KIBAOKATA huwakilisha sana....Jitahidi usiwe unakosa.

0 comments :

Post a Comment