Upande wa kushoto kwako ni MANAGER wa msanii OMMY DIMPOZ Anaitwa MUBENGA wa katikati Anaitwa GLLA THE BOSS ni ENTERTAINMENT MANAGER wa CLUB MAISHA Dar na upande wa kulia ni mdau wa muziki wa Bongo fleva Tanzania anaitwa MWAULANGA Hawa wote kila ifikapo siku za wikiendi huwa wanapatikana CLUB MAISHA kula bata zao na kujadili mipango yao...
DVJ OMMY CRAZ n0 1 DVJ wa CLUB MAISHA DAR akiwa katika pozi na watoto wazuri warembo kutoka TANZANIA HOUSE OF TALENT kushoto kwako anaitwa LINAH na kulia kwako anaitwa RECHAEL Hawa wote wanatokea THT wanauwezo wa hali juu sana katika swala na kujipanga na sauti zao so ukizungumzia wasanii wakike wa KITANZANI lazima utawataja hawa....kila ifikapo wikiend maeneo yao kula bata ni CLUB MAISHA DAR...
Mrembo huyu anatokea FM ACADEMIA wazee wangwasuma ni mnenguaji namba moja katika BAND yake ndio kiungo mchezeshaji anaitwa SUZZY CRAZ anauwezo mkubwa sana wakulitawala jukwaa kila jumatano FM ACADEMIA wanagonga ngwasuma zao CLUB MAISHA DAR njoo ushuhudie uwezo wakucheza wa huyu mwana dada lakini anauwezo mkubwa sana wakuimba piaa....
Kulia kwako ni OMMY DIMPOZ MANAGER na katikati ni T.I.D MNYAMA KIONGOZI WA TOP BAND Ambayo hutumbuiza kila jumanne CLUB MAISHA DAR, MUBENGA Manager wa OMMY DIMPOZ Ashawahi kuwa MANGER wa msanii T.I.D kipindi hicho OMMY DIMPOZ ni msanii wa T.I.D katika Band yake na kulia kwako ni mdau wa muziki wa Bongo Fleva anaitwa MWAULANGA ..
BIG 1TED NA TONY MNYAMA
0 comments :
Post a Comment