Anaitwa HUSNA pia alisindikiza usiku wa shilole katika jukwaa la New maisha club mtoto huyu alifanya vitu vingi sana juu ya jukwaa mashabiki wa nyimbo zake shangwe za kutosha kumsupport husna alipokuwa akiperform ngoma zake ebwana alifanya bonge moja la show......
Hawa ni baadhi wa mashabiki wa shilole na wala bata zote za town huwa wanapenda sana kufanya yao club maisha dar kila ifikapo jumatano usiku wa fm academia, na alhamisi TWANGA PEPETA na kila ijumaa kuruka ngoma na djs wa club maisha DVJ OMMY CRAZ, DJ ALI B,DJ EDDO, NA DJ PAC pia jumamosi katika IBIZA NITE lakini kila jumapili ni live performance kutoka kwa bongo artist so karibu na wewe club maisha upate burudani unazohitaji.....
Anaitw DJ EDDO akifanya tukio la kinyama sana katika usiku wa mtoto mzuri SHILOLE katika jukwaa lanew maisha club dar ... DJ Eddo ni miongoni mwa djs wa club maisha dar na ni kati ya madj wanaofanya pouwa katika hii game ya bongo anapozi nyingi sana dj huyu akiwa kwa mashine....kama hujawahi fika club maisha karib xana upate burudani za kutosha na kile unachokipenda...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment