Yakuza

Yakuza

blog

blog

EXTREAM

tangazo

tangazo

TANGAZA NASI

Tuesday, 16 April 2013

PICHANI NI ROMA WATONGWE AKIWA NA MAMA WATOTO WAKE

Hivi ni kwanini wasanii wengi awapendi kujali swala la mawasiliano yao, maana saa nyingine watu wanawatafuta kwa ajili ya kuwapa (kazi) madili ya shows na vinginevyo, wanaishia kuomba kwa watu wengine ili kuwapata wao..Leo hii Roma ameamua kutoa mawasiliano yake, na hivi ndivyo unaweza kuwasiliana nae. pichani ni Roma na mama mtoto wake Roma wa Tongwe KUNIPATA R.O.M.A facebook account- Roma tongwepage R.O.M.Aface book group

0 comments :

Post a Comment