Picha za baadhi ya wasanii na majina waliotajwa kuperfom kwenye
sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya ,
Kenyata, leo hii. Nimepokea list kamili ya wasanii watakaoshiriki na safari hii
Jaguar
hakuachwa nyuma. Wakati huo msanii mwingine kutoka nchini Kenya
PREZOO yuko hapa nchini akitambulisha nyimbo yake mpya na Baadae usiku atakua ndani ya
NEW MAISHA CLUB akifanya show kali
List hiyo ni Daddy Owen, Jaguar, Emmy Kosgey, Rufftone, Ringtone, Abass,
V6, Sauti Sol, Sarakasi Dancers, Madtraxx, ambao watu wengi walikuwa
wakitegemea kuona list ya majina haya.
Wengine ni pamoja na Elsie na Visita, walioimba wimbo wa jubilee, pamoja na Ally B, Gkon na Kavi Pratt
0 comments :
Post a Comment