Tuesday, 30 April 2013
Friday, 26 April 2013
Thursday, 25 April 2013
Monday, 22 April 2013
HAWA NI BAADHI YA SUPERSTARS WA MUZIKI WA TANZANIA NI WAPENZI WAZURI WA CLUB MAISHA .....
Upande wa kushoto kwako ni MANAGER wa msanii OMMY DIMPOZ Anaitwa MUBENGA wa katikati Anaitwa GLLA THE BOSS ni ENTERTAINMENT MANAGER wa CLUB MAISHA Dar na upande wa kulia ni mdau wa muziki wa Bongo fleva Tanzania anaitwa MWAULANGA Hawa wote kila ifikapo siku za wikiendi huwa wanapatikana CLUB MAISHA kula bata zao na kujadili mipango yao...
DVJ OMMY CRAZ n0 1 DVJ wa CLUB MAISHA DAR akiwa katika pozi na watoto wazuri warembo kutoka TANZANIA HOUSE OF TALENT kushoto kwako anaitwa LINAH na kulia kwako anaitwa RECHAEL Hawa wote wanatokea THT wanauwezo wa hali juu sana katika swala na kujipanga na sauti zao so ukizungumzia wasanii wakike wa KITANZANI lazima utawataja hawa....kila ifikapo wikiend maeneo yao kula bata ni CLUB MAISHA DAR...
Mrembo huyu anatokea FM ACADEMIA wazee wangwasuma ni mnenguaji namba moja katika BAND yake ndio kiungo mchezeshaji anaitwa SUZZY CRAZ anauwezo mkubwa sana wakulitawala jukwaa kila jumatano FM ACADEMIA wanagonga ngwasuma zao CLUB MAISHA DAR njoo ushuhudie uwezo wakucheza wa huyu mwana dada lakini anauwezo mkubwa sana wakuimba piaa....
Kulia kwako ni OMMY DIMPOZ MANAGER na katikati ni T.I.D MNYAMA KIONGOZI WA TOP BAND Ambayo hutumbuiza kila jumanne CLUB MAISHA DAR, MUBENGA Manager wa OMMY DIMPOZ Ashawahi kuwa MANGER wa msanii T.I.D kipindi hicho OMMY DIMPOZ ni msanii wa T.I.D katika Band yake na kulia kwako ni mdau wa muziki wa Bongo Fleva anaitwa MWAULANGA ..
BIG 1TED NA TONY MNYAMA
Saturday, 20 April 2013
MAGARI MAKALI YA MASTAA WA AFRIKA MASHARIKI 2012/2013 )
MBWANA SAMATTA
MWANASOKA
MTANZANIA MBWANA SAMATTA ANACHEZEA TIMU
YA TP MAZEMBE
Mwimbaji Jose Chameleone kutoka Uganda
Jose Chameleone Uganda
Mwanasoka Mkenya
McDonald Mariga.
McDonald Mariga.
Mkenya McDonald Mariga.
Mwanamuzioki Jua Cali wa Kenya.
Jua Cali wa Kenya.
Wednesday, 17 April 2013
Tuesday, 16 April 2013
DVJ OMMY CRAYZ THE HANDSOME DVJ IN TOWN NI MMOJA KATI YA MADEEJAY WA CLUB MAISHA DAR
dvj ommy crayz akiwa na big wanted na shetta tha don pia barnaba clu maisha
daaah,, Mtoto mzuri shilole akiwa juu ya jukwaa la club maisha dar katika usiku wa mtoto mzuri shilole huyu aliyenyuma ya kiuno cha shilole ni qchillah.....
PICHANI NI ROMA WATONGWE AKIWA NA MAMA WATOTO WAKE
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5eAQGUfHbLGD0YmF6-nmZ-o7eFtbTZXB3uL0RblVnWvbDd42vArkC7g48CRV_H1ANcLt88ZB0rzYoSGN41CPhD5woxFRVcm-Vstd0-uQal7alF8f_2VOeLqpveTwsVyRxHgQY8B33pQw/s640/Screenshot+2013-04-16+at+12.40.01.png)
Monday, 15 April 2013
USIKU WA MTOTO MZZURI SHILOLE ULIVYOKUWA @CLUB MAISHA DAR...14,04,2013
Anaitwa HUSNA pia alisindikiza usiku wa shilole katika jukwaa la New maisha club mtoto huyu alifanya vitu vingi sana juu ya jukwaa mashabiki wa nyimbo zake shangwe za kutosha kumsupport husna alipokuwa akiperform ngoma zake ebwana alifanya bonge moja la show......
Hawa ni baadhi wa mashabiki wa shilole na wala bata zote za town huwa wanapenda sana kufanya yao club maisha dar kila ifikapo jumatano usiku wa fm academia, na alhamisi TWANGA PEPETA na kila ijumaa kuruka ngoma na djs wa club maisha DVJ OMMY CRAZ, DJ ALI B,DJ EDDO, NA DJ PAC pia jumamosi katika IBIZA NITE lakini kila jumapili ni live performance kutoka kwa bongo artist so karibu na wewe club maisha upate burudani unazohitaji.....
Anaitw DJ EDDO akifanya tukio la kinyama sana katika usiku wa mtoto mzuri SHILOLE katika jukwaa lanew maisha club dar ... DJ Eddo ni miongoni mwa djs wa club maisha dar na ni kati ya madj wanaofanya pouwa katika hii game ya bongo anapozi nyingi sana dj huyu akiwa kwa mashine....kama hujawahi fika club maisha karib xana upate burudani za kutosha na kile unachokipenda...

Wednesday, 10 April 2013
WASANII WAGOMEA UJIO WA MFUMO MPYA WA HAKIMILIKI, IKIWEMO UBANDIKAJI WA STIKA ZA ‘TRA’…!!
Ofisa
Elimu na Huduma kwa Mlipakodi (TRA), Bw. Sebastian Mwalele akizungumza na wasanii wa Filamu na
Muziki (hawapo pichani)
WASANII mbalimbali nchini wameanza kugomea juu ya ujio wa mfumo mpya wa hakimiliki, ikiwemo ubandikaji wa stika katika kazi zao kwa madai kuwa ni chanzo cha kikubwa cha wao kuibiwa kwani gharama za stika hizo ni kubwa mno.
Wasanii hao walionekana kutokuwa na imani na Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’, wakati wakipewa mafunzo yaliyotolewa na mamlaka hiyo Basata kuhusu mfumo huo mpya ambao utamuwezesha msanii kuuza kazi zake bila kuigiliwa na maharamia/wezi.
Katibu wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Christian Kauzeni alisema kuwa mfumo wa TRA sio mbaya kwa wasanii lakini kikubwa hasa ni kwamba kodi iliyopangwa kutozwa kwa wasanii ni kubwa tofauti na mapato watakayoyapata kutokana na mauzo ya kazi zao.
Kauzeni alisema kuwa kutokana na mfumo huo kuna baadhi ya wasanii hawaelewi chochote juu ya urasimishaji wa kazi zao hivyo inahitajika elimu ya kutosha ili waweze kuwa na uelewa wa suala hilo.
Aidha Ofisa Elimu na Huduma kwa mlipakodi kutoka (TRA) Sebastian Mwalele, alifafanua jinsi mfumo huo wa ulipaji kodi kwa ajili ya stika, ambapo alisema kuwa katika kila stika moja itauzwa shilingi 7 ambapo msanii anatakiwa kununua stika mbili katika kila CD moja ambapo itakuwa jumla ni shilingi 14, na pia kabla ya kazi kuingia sokoni msanii anatakiwa kulipia shilingu 40 kwa hiyo inatakiwa shilingi 54 kwa kila kazi jambo ambalo wasanii wamelipinga.
Sebastian alisema kuwa ifikapo Juni 30 mwaka huu mfumo huu utaanza kazi na hivyo aliwashauri wasanii wote nchini ambao kazi zao tayari zipo sokoni kuanza mchakato wa kuzisajili na kama zipo mbioni kuingia sokoni basi waweze kuzifanyia usajili.
“Mfumo huu upo tayari kwani tume iliyoundwa ambayo inaongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamadunu na Michezo, Fenela Mkangala inafanya kazi kubwa kuhakikisha mfumo huu unaenda kama ulivyopangwa,” alisem

Friday, 5 April 2013
HII NDIO LIST KAMILI YA WASANII WATAKAO PERFORM SHEREHE ZA KUAPISHWA RAISI UHURU KENYATA
Picha za baadhi ya wasanii na majina waliotajwa kuperfom kwenye
sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya , Kenyata, leo hii. Nimepokea list kamili ya wasanii watakaoshiriki na safari hii Jaguar
hakuachwa nyuma. Wakati huo msanii mwingine kutoka nchini Kenya PREZOO yuko hapa nchini akitambulisha nyimbo yake mpya na Baadae usiku atakua ndani ya NEW MAISHA CLUB akifanya show kali
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitRdJCawBob0klK37cjk5Egu2hLe4EbtWNQ4XcRv0octySCobFJdh9h5eCJEap0ZRo_urM34ghFYm7enBV3mdYXiyXlL6TFSZ2L0mO6-bWZfVJTZDXIiIw4Qrrgc9OBbWgsNZjA0USGKU/s320/1.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitQBlG3wsMCkbNpEMcMM_JAo9zRgbe7wjr8ZX8ByDqRwBBnOaWgUv-YW7mHmtwhv7uLuDBpiAawlWzwfJIWas1jwdnUZhrX6wX8PMGG2DZCl1FRn-8OcDKagywiJSAegrLghKi0gfTnbU/s320/2.jpg)
Wengine ni pamoja na Elsie na Visita, walioimba wimbo wa jubilee, pamoja na Ally B, Gkon na Kavi Pratt

List hiyo ni Daddy Owen, Jaguar, Emmy Kosgey, Rufftone, Ringtone, Abass,
V6, Sauti Sol, Sarakasi Dancers, Madtraxx, ambao watu wengi walikuwa
wakitegemea kuona list ya majina haya.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitQBlG3wsMCkbNpEMcMM_JAo9zRgbe7wjr8ZX8ByDqRwBBnOaWgUv-YW7mHmtwhv7uLuDBpiAawlWzwfJIWas1jwdnUZhrX6wX8PMGG2DZCl1FRn-8OcDKagywiJSAegrLghKi0gfTnbU/s320/2.jpg)
Wengine ni pamoja na Elsie na Visita, walioimba wimbo wa jubilee, pamoja na Ally B, Gkon na Kavi Pratt
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgY58UlfoipghKfjxalu-Izka6JZ6mamq-zurqRyb_jAnGT32kX_FqZ66tjDOpPd94ak2suRM2Pf8kgcAGF89zCoRxCLkA-ljsiMgKIK8PibOqSPbHzIRna25vDAHIB1VCNbBqJRlNy6MM/s320/3.jpg)
Thursday, 4 April 2013
Wednesday, 3 April 2013
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)