Yakuzamob4ever walisema hivi baada ya kutoa ngoma waliomshirikisha TID na NAY WAMAITEGO sasa wanajipanga na soon tu watadondosha mzigo mpya walisema vitu vingi sana ambavyo wao wanajua tofauti na wao kuachia ngoma mpya kwanza hawa jamaa wao niwaandaaji wazuri sana wamatamasha ya nje na ndani pia wao ni Managers wa club zinaongelewa hapa Tanzania kwa mfano Geoffrey Gilla ni Marketing Manager wa New Maisha Club Dar-es-salaam na Mbwana Khamisi ni Marketing Manager wa Club Kakala iliyopo kigamboni waliendelea kusema wao wanavipaji vingi sana na wana proffessional ya vitu vingi sana na chochote utakachowaambia wafanye wao hufanya sababu ni wajasilia mali tosha.
Yakuzamob4ever wanatokea mkoani Morogoro huko ndipo walipo anza mambo yao ya sanaa huwa wanapena sana kujifunza ndio maana wamefika hapo walipofikana wanaendelea mbele. Yakuzamob4ever ni kundi linaundwa watu wawili [Mbwana Khamisi na Geoffrey Gilla] watu hufikiria ni ndugu hapana hawa jamaa ni marafiki wamaisha yakawaida na sanaa.
Tofauti na music hawa jamaa ni Mabaharia[Seaman] Chuo walichosema haya mambo ni DMI hupenda kujifunza vitu lakini sio vitu vibay ambavyo havijengi na havimjengi mtu yoyote katiaka Maisha ya kawaida na kisanii pia.
UKITAKA KUJUA MENGI KUHUSU ENDELEA KUIFUTILIA HII KURASA ....www.yakuzamob4ever.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment