Tuesday, 2 September 2014
JUMATANO HII NA KILA JUMATANO NI USIKU WA DERA PLUS KIBAOKATA NEW MAISHA CLUB DAR-ES-SALAAM.
Jumatano hii na kila jumatano Usiku wa Dera na kila atakayevaa Dera kali atapata zawadi kutoka New Maisha Club .Mlangoni utalipia tsh 10,000/= ukiwa umevaa dera na coupon ya tsh 2000 na ukiwa hujavaa Dera utalipia buku kumi tu bila coupon kwa hyo ukiwa umevaa Dera kali upate coupon yakinywaji na zawdi kutoka NewMaisha Club.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment