Friday, 5 September 2014
UDO EAST AFRICA STREET DANCE JUMAPILI 07/09/0214 AT NEW MAISHA CLUB DAR-ES-SALAAM.
UDO EAST AFRICA ni mashindano yakucheza kati ya makundi na mmoja mmoja na vitu vingine kibao ambavyo vitahusishwa katika mashindano haya. Mashindano haya yanafanyika kidunia so kwa upande wa EAST AFRICA yanafanyika NEW MAISHA CLUB DAR-ES-SALAAM Final za mashindano haya yatafanyika nchini Scotland kwa makundi yatakayochaguliwa. Mashindano haya yamedhaminiwa na Jay Hustler Unique Mwenge. Usikose kuangalia vipaji hivi siku ya jumapili kuanzia saa tatu usiku mpaka Asubuhi coz zitapigwa ngoma kali na Dvj Ommycrzyze, Dvj Ali B, dj MOE,Djsuma Dj h, na Dj jimmy,
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment