Friday, 19 September 2014
DUNIA NZIMA INAMTAKIA SIKU YA KUZALIWA DJCHOKA MR APPETITE [HAPPY BIRTHDAY DJCHOKA]
Dj Choka Mr Appetite amezaliwa siku ya Ijumaa tar 19/09 kama hii jamaa anatimiza miaka mingi sana sababu sasa ni Baba wa Familia.Jumapili ya tar 21/092014 Dj Choka Mr Appetite anawaarika Watanzania wote pale Ten Lounge muweze kula Bata pamoja na kusheherekea siku yake yaku zaliwa.Jumapili pale Ten LOUNGE kutakuwa na celebrates wote unaowajua wewe so usikose kuja kumsupport DJchoka Mr Appetite siku yake ya kuzaliwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment