Friday, 19 September 2014
REFIX YA MIRROR26 INAACHIWA IJUMAA YA LEO XXL YA CLOUDS [PREMIERES FRIDAY 19/09/2014 ON CLOUDS FM XXL 1500HRS THE REFIX]
Premieres Friday 19/09/2014 on Clouds Fm xxl 1500hrs The Refix ya Mirror itakuwa hewani muda huo ukifika hii kitu kaitengeneza Producer Lamar kutoka Fish Crubs kaa tayari kuiskia na kuipokea na kuisupport pia. MIrror na Producer Lamar wote sio watu wakubahatisha ni watu ambao wanafanya nini katika hii sanaa ya Muziki wa Bongo Flavour.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment